• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MKUU WA WILAYA YA MUFINDI MHESHIMIWA DKT LINDA SALEKWA AMEWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA KIPINDI CHA JANUARI - JUNI 2023.

Posted on: September 12th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa amewasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kipindi cha Januari-Juni 2023 katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Mufindi, taarifa inayojumuisha Halmashauri ya Mji Mafinga, Halmashauri ya Mufindi na Taarifa za RUWASA, TANESCO na TARURA.

Amesema Wilaya ya Mufindi imepiga hatua katika Sekta mbalimbali kutokana na Juhudi kubwa za Serikali ya  Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuleta Mabilioni ya fedha wilayani humo na wataalamu kuhakikisha fedha hizo zinafanya lengo lililo kusudiwa kwa kuzisimamia.

Dkt. Salekwa amesema katika Ibara ya 122 kuhusu ukusanyaji wa mapato Wilaya ya Mufindi imevuka lengo la Ukusanyaji kwa kukusanya zaidi ya asilimia 100. ambapo Kwa Halmashauri ya Mji Mafinga kwa kipindi cha Julai 2021 hadi Juni 2023 imekusanya jumla ya shilingi 5,747,829,634.48 sawa na asilimia 102 ya Lengo. Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imekusanya 5,670,414,489,000/-  na kufanya makusanyo yote jumla kuwa 11,418,244,123,000/- sawa na asilimia 91.21 ya makadirio.


Katika Ibara ya 86 Lishe,  Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa amesema asilimia ya watoto chini ya miaka 5 wenye ukondefu imepungua kutoka 1.9 hadi 0.7 mwezi Juni , 2023 na kiwango cha unyonyeshaji wa maziwa ya mama kutoka asilimia 93 hadi kufikia asilimia 98.8 mwezi Juni 2023. Aidha idadi ya wataalamu wa afya waliojengewa uwezo wa kutoa huduma za lishe imeongezeka kutoka wataalamu 217 hadi kufikia wataalamu 227 katika Wilaya ya Mufindi.


Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa George Kavenuke amepongeza Mkuu wa Wilaya na Wataalamu kwa taarifa nzuri yenye kubeba kila sekta na kuwashukuru Waheshimiwa Madiwani kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo na zaidi kutoa Shukrani kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta Mabilioni ya Fedha katika Wilaya ya Mufindi.


“ Ili kumuonyesha Rais kwamba tunathamini Fedha tunazoletewa kwaajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo lazima tuzisemee tusikae kimya yanayofanywa ni makubwa mno tutangaze Miradi na wananchi wajue kazi nzuri inayofanywa na Mheshimiwa Rais”Ufaulu umeongezeka wa darasa la saba kufikia asilimia 96.6 na wilaya ina jumla ya madarasa ya shule za Msingi 1717.” Hii ni hatua kubwa huku tukiendelea kukusanya mapato ya Serikali”


Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- MAFINGA TC


Sima Bingileki


Mkuu kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.