• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MKUU WA WILAYA YA MUFINDI MHESHIMIWA DKT. LINDA SALEKWA IZINDUA ZOEZI LA UPANDAJI WA MITI KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA ( MTI WA MAMA) ZOEZI LILILOFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA MJI MAFINGA

Posted on: January 27th, 2025

“Kitakachowagusa wananchi wa chini ni huduma bora tutakazotoa, tutoe huduma sawa kwa wananchi bila kuwa na matabaka kwa kufanya hivyo miundombinu iliyoboreshwa katika Hospitali hii ya Mji Mafinga iliyojengwa kwa fedha kutoka Serikali Kuu itafanya wananchi kupata huduma bora na kuisemea Serikali vizuri”


Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa alipokuwa akizindua zoezi la Upandaji wa Miti katika Halmashauri ya Mji Mafinga ( MTI WA MAMA) zoezi lililofanyika Katika Hospitali ya Mji Mafinga kwa kushirikisha wadau wa PRESHDAS Company Limited ambao wametoa jumla ya miche 570.


Amesema Majengo yaliyojengwa katika Hospitali ya Mji Mafinga yataenda kuwa na maana kama mazingira ya Hospitali na huduma yatafanana na majengo.

“ Tuhakikishe mazingira yanayoizunguka Hospitali ya Mji Mafinga yanaendelea kuboreshwa kwa kupanda ukoka, maua na kuweka maeneo ya kupumzika kwa wagonjwa


Aidha Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Amempongeza Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Mafinga Mheshimiwa Regnant Kivinge na Mkurugenzi Mji Bi . Fidelica Myovella kwa kuamua kuchagua Hospitali ya Mji Kupandwa Miti na kupongeza kwa kujenga jengo la Kuifadhia Maiti na jengo la wodi ya daraja la kwanza( VIP) kwa kutumia fedha za mapato ya ndani.


Nae Afisa Mafunzo na Usimamizi wa Rasilimali watu kutoka PRESHDAS, Ndugu. Geofrey Nyakunga amesema Taasisi hiyo ni mdau wa Mazingira na inajishughulisha na uhifadhi wa mazingira, kusimamia mashamba, kufanya tathmini ya mashamba kabla ya uvunaji na kutoa elimu kwa wakulima.


Amesema katika zoezi hili la uzinduzi wa Upandaji Miti kwa Halmashauri ya Mji Mafinga PRESHDAS wametoa miche 570 , miche 70 ya matunda na miche 500 ya kivuli na mpaka leo tarehe 27 Januari, 2025 jumla ya miche 762,376 ya matunda, mbao imepandwa maeneo mbalimbali katika Halmashauri na zoezi linaendelea.


Zoezi la Upandaji miti limehudhuriwa Afisa Tawala Mufindi, Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi, wadau mbalimbali wa mazingira wakiwemo PRESHDAS, TFS , PANDAMITI KIBIASHARA, wananchi na watumishi wa Halmashauri ya Mji Mafinga na Hospitali ya Mji Mafinga.


Sima Mark Bingileki

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- Mafinga TC



Mkuu  wa Wilaya ya Mufindi Dkt Linda Selekwa akishiriki katika zoezi la upandaji miti katika Halmashauri ya Mji Mafinga.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.