• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

"Ni lazima sasa kwa sisi madiwani kujiongeza kubuni vyanzo vipya vya mapato" amesema Makoga

Posted on: November 1st, 2018

Mwenyekiti wa halmashauri ya mji mafinga mh. Charles Makoga amewataka madiwani wa halmashauri ya mji mafinga kujiongeza kwa kutafuta wadau mbalimbali wa maendeleo na kuachana na tabia ya kutegemea bajeti ya halmashauri.

Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa baraza la waheshimiwa madiwani la kipindi cha robo ya kwanza ya 2018/2019 uliofanyika leo  31 oktoba 2018 katika ukumbi wa halmashauri ulipo mafinga mjini, mkoani Iringa.

“Hata serikali yetu inajiongeza katika kutafuta wadau wa maendeleo Mfano mfano halmashauri ya mji wetu imeweka bajeti yake ya mapato ya ndani bilioni 3.2 lakini ni vigumu sana kupata kupata yote maana yake kama hatutaifikia basi miradi mingi haiwezi kutekelezwa”alisema mh. Makoga.

Mji wa mafinga una viwanda vingi na makampuni mengi kwa ujumla kunawadau wengi wa maendeleo wakiwemo wafanyabiashara na wako vizuri katika kuchangia maendeleo lakini hawawezi kuchangia kama hawafuatwi.

Halmashauri ina mpango mkakati wa kuhakikisha kunakuwa na wadau wengi kama vile shamba la miti sao hill ni moja kati ya wadau wakubwa wa halmashauri ambao huwa wanasaidia mara kwa mara kutoa greda la kusembua barabara mbalimbali za mitaa ya halmashauri ya mji mafinga

Sanjari na hilo amempongeza mbunge wa mafinga mjini mh. Cosato Chumi kwa jitihada zake za kutafuta wadau mbalimbali ambapo jana tu tayari amepata wadau watakaosaidia kumalizia ujenzi wa jengo la zahanati ya kijiji cha bumilayinga na kuwataka madiwani kuiga mfano huo kwa ajili ya kata zao ili kuondokana na dhana ya kutegemea bajeti ya halmashauri.

Kwa upande wao madiwani wa halmashauri hiyo wamepokea kwa pamoja ushauri huo na kuahidi kuufanyia kazi kwa maendeleo ya kata zao na Taifa kwa ujumla.

Diwani wa viti maalumu mh. Monica luvanda amesema “tumeupokea vizuri ushauri wa Mwenyekiti na tunaahidi kujiongeza kufanya kazi zaidi kama tulivyoshauriwa.

Kwa upande wake diwani wa kata ya sao hill mh. Denis kutemile amesema “wazo la mwenyekiti ni sahihi na la msingi sana na wala halikwepeki, hivyo ni wajibu wetu kuhakikisha tunawaletea wananchi wetu maendeleo kwa kujiongeza na kuachana na kasumba ya kutegemea bajeti ya halmashauri”.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.