• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

RC HAPI AWASHA UMEME MAFINGA NA KUIPONGEZA TANESCO

Posted on: November 22nd, 2018

Mkuu wa Mkoa Iringa mh. Ally Salum Hapi leo amepata fursa ya kutembelea na kuwasha mradi wa umeme wa REA awamu ya III mzunguko wa kwanza katika mtaa wa ndolezi ulipo Halmashauri ya mji mafinga wilaya ya mufindi, mkoani iringa ulioanza kutekelezwa 3 julai 2017 na kampuni ya M/S Sengerema Engineering Group Ltd wenye gharama ya jumla ya tshs. bilioni 24.7 chini ya shirika la umeme tanzania TANESCO.

“Umeme ni nyenzo muhimu sana kwa wananchi wetu hasa vijijini, Serikalli ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kupitia ilani ya chama cha mapinduzi tumedhamiria kuhakikisha vijiji vyote kwenye nchi yetu vinapata umeme wa uhakika” alisema mh. Hapi.

Aidha mh. Hapi ameamua mwenyewe kuanza kufuatilia miradi ya REA ili kujiridhisha kama kasi ya upelekaji umeme vijijini inaridhisha na alisema “Nataka niwahakikishie kuwa hakuna kijiji hata kimoja kwenye mkoa wetu ambacho kitabaki bila kupata umeme hiyo ni ahadi ya Mh. Rais na mimi kama mkuu wenu wa mkoa tutaendelea kufuatilia kuhakikisha wananchi wetu wote wanapata umeme katika vijiji vyote.”

Mh. Hapi amesisitiza kuhakikisha umeme unapokwenda vijijini ni lazima kutoa kipaumbele cha ugawaji wa umeme katika maeneo muhimu kwanza ya zahanati, visima vya maji, na shuleni.

Jumla ya wateja 2596 wanategemewa kuunganishwa na umeme kati yao 2333 ni wa njia moja na 263 ni wa njia tatu na mpaka kufikia tarehe ya leo jumla ya vijiji kuni na nane (18) vimeungwa umeme na Transfoma 18 zimefungwa katika maeneo mbalimbali ya mradi.

Mkuu wa wilaya mufindi mh. Jamhuri William akitoa salamu za wilaya kwa mkuu wa mkoa alisema kupitia mradi wa umeme vijijini REA, wananchi wa ndolezi walikua na shida sana ya umeme na walipiga kelele sana lakini aliwambia umeme utafika tu na sasa umefika.

“Kwa kupitia juhudi za mbunge wa mafinga mjini mh. Cosato Chumi alipiga kelele sana bungeni lakini aliwasumbua sana TANESCO na hatimae leo umeme umewashwa rasmi” alisema mh. William.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la umeme Tanzania TANESCO Profesa Alexander Kyaruzi ameipongeza serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwani amedhamiria kulitoa taifa hili kwenye hali lilipo na kulipeleka kwenye uchumi wa kati ambao utaendana na tanzania ya viwanda.

Lakini huwezi kwenda katika uchumi wa kati wakati watu wako gizani, kwa hiyo rais ametoa fedha nyingi sana kupitia REA ili kupata umeme wa uhakika vijijini.

“Iringa kwa awamu hii takribani vijiji 179 vitapata umeme na ikija awamu ya III mzunguko wa pili kila mtanzania atapata umeme na hili Mh. Rais amedhamiria haswa ifikapo 2021 kila mtanzania awe na umeme na kwa mujibu wa takwimu zilizopo kwa sasa asilimia takribani 67.5 umeme umewafikia wananchi kote nchini” alisema Profesa Kyaruzi

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi kwa mkuu wa mkoa wa iringa meneja TANESCO wilaya ya mufindi mhandisi Omary Ally amesema jumla ya wateja 616 wamelipia kuunganishiwa umeme kati yao 263 wameunganishwa na 353 bado hawajaunganishwa kutokana na ukosefu wa mita kutoka kwa mkandarasi.

Aidha kwa mujibu wa mkandarasi wa REA kampuni ya M/S Sengerema Engineering Group Ltd inyotekeleza mradi huu kupitia kwa mhandisi Bryson Chegula amemthibitishia mkuu wa mkoa na wananchi wa ndolezi na mafinga kwa ujumla kuwa zaidi ya mita 1000 za umeme zinainga siku ya jumapili hali itakayochochea uunganishwaji wa wateja wengi wa umeme na hatimae kuondokana na changamoto yakukosa umeme.

“wilaya ina jumla ya vijiji/mitaa 161 na vitongoji 562 kati ya hivyo vijiji/mitaa 95 vimeshapata umeme REA I&II na vijiji 54 vipo kwenye REA awamu ya III mzunguko wa kwanza katika utekelezaji” alisema mhandisi Omary.

Kukamilika kwa miradi ya umeme awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu itachochea kwa kiasi kikubwa maendeleo ya viwanda vidogo vijijini na kuongeza wigo mkubwa kwa wananchi wa Mufindi waliofikiwa na huduma ya umeme.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.