Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego amefungua Jukwaa la mwaka la Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali Mkoa wa Iringa leo katika ukumbi wa Royal Pam Manispaa ya Iringa.
Mkutano huo umehudhuriwa na Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za mkoa wa Iringa.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.