• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio

RC IRINGA AKABIDHIWA MADARASA 16 HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

Posted on: December 18th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa iringa Mhe Queen Sendiga amekabidhiwa madarasa 16 ya mpango maendeleo ya ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya UVIKO 19 larehe 16/12/2021.Akikabidhi madarasa hayo katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari ya J J Mungai Mkuu wa wilaya ya Mufindi Mhe Saad Mtambule alipongeza sana uongozi wa halmashauri ya mji Mafinga kwa usimamizi mzuri wa kazi na yenye kiwango bora sana.Mkuu wa mkoa wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa madarasa iliyofanyika kwa kupitia shule za sekondari za kinyanambo,isalkavanu,changarawe na hatimaye JJ Mungai alipongeza sana halmashauri ya mji kwa kuwa ya kwanza kumaliza kazi ya ujenzi  na kwa kiwango kikubwa.Akiongea na wananchi pamoja na viongozi wa chama na serikali baada ya kupanda mti wa kumbukumbu wa kuonyesha kuridhishwa na ujenzi aliwasisitiza kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI TAREHE 11-15/7/2022 HALMASHAURI YA MJI MAFINGA July 06, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO TAREHE 15/7/2022 MAFINGATC KWA NAFASI YA MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA III July 14, 2022
  • VIWANJA 1305 VYAPIMWA KATA YA UPENDO NA WANANCHI 680 WALIPIA ADA YA UMILIKISHWAJI -MKUU WA WILAYA AKABIDHI HATI KWA WANANCHI(MKURABITA) August 16, 2022
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI -13/6/2022 June 15, 2022
  • View All

Habari mpya

  • JUMLA YA VIWANJA 1305 VIMEPIMWA KATIKA MPANGO WA MKURABITA,HATI 680 ZIMELIPIWA UMILIKI- DC MUFINDI AKABIDHI HATI KWA WANANCHI KATA YA UPENDO-MAFINGA TC

    August 18, 2022
  • UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA WA DHARULA (EMD) KUBORESHA UTOAJI HUDUMA -MAFINGA TC

    July 20, 2022
  • KAMATI YA ELIMU,AFYA NA UCHUMI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YATEMBELEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 14, 2022
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA MUFINDI YAKAGUA MIRADI PENDEKEZWA ITAKAYOPITIWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU-MAFINGA TC

    July 14, 2022
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.