• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

Serikali Imegawa Pikipiki kwa Maafisa Elimu Kata.

Posted on: November 9th, 2018

Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia na Wizara ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) imegawa pikipiki tisa aina ya honda kwa maafisa elimu kata (AEK) katika kata zote za halmashauri ya mji mafinga mkoani iringa.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi pikipiki hizo Mwenyekiti wa halmashauri ya mji mafinga mh. Charles Makoga amesema pikipiki hizo zimefika kwa wakati muafaka ili kurahisisha usimamizi wa ubora wa elimu na kupunguza au kuondoa kabisa ziro katika shule zote za mji mafinga.

Aidha mh. Makoga ametoa wito kwa maafisa elimu kata (AEK) kuhakikisha wanazitunza na kusisitiza kwamba usafiri huo sio kwa ajili ya kufanyia biashara ya bodaboda bali zifanye kazi iliyokusudiwa.

Kwa upande wake mkurugenzi wa halmashauri ya mji mafinga bi. Saada S. Mwaruka amewapongeza maafisa hao kwa kusimamia vizuri shule za msingi hali iliyopelelekea halmashauri kushika nafasi ya saba kitaifa katika matokeo ya darasa la saba 2018 na nafasi ya kwanza ngazi ya mkoa wa iringa, amesisitiza juhudi ziongezwe zaidi ili kushika nafasi ya nne na hata ya kwanza sanjari na shule za sekondari bidii iongezwe.

Kwa upande wake afisa elimu msingi halmashauri ya mji mafinga bwana Kasmiri sambala amesema mapokezi ya pikipiki hizo yamekuwa ni faraja kubwa na zitasaidia kufanya ufuatiliaji mzuri wa elimu mashuleni.

Nae afisa elimu sekondari halmashauri ya mji mafinga bwana Voster Mgina ameeleza mpango mkakati wa kuhakikisha anaondoa ziro kwa shule za sekondari kupitia ujio wa usafiri huo kwani ni chachu kubwa ya kuondoa ziro kwa kuongeza ufuatiliaji zaidi mashuleni.

Akitoa shukrani za maafisa elimu kata wa halmashauri ya mji wa mafinga kwa serikali afisa elimu kata ya isalavanu bwana Mohamed Ilunga ameahidi kuzitumia pikipiki hizo vyema kwa malengo yaliyokusudiwa na pia ameomba kuongezewa mafunzo zaidi ya uendeshaji wa pikipiki hizo.

Mmoja wa maafisa elimu Kata bi. Eva mwanjisi ameishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwawezesha usafiri ambao utakuwa chachu ya kufanya ufuatiliaji mara nyingi zaidi katika shule za mafinga

Afisa elimu kata ni moja kati ya kiungo muhimu katika ofisi ya elimu mji na shule za serikali katika ngazi ya kata ambae ndie mfuatiliaji mkubwa wa maendeleo ya elimu ndani ya kata.

Jumla ya pikipiki 2894 zilizogawiwa kote nchini zimegharimu kiasi cha tshs. bilioni 8 milioni 576 na elfu 72,000 na hiyo ni miongoni mwa hatua za serikali katika kuboresha elimu hapa nchini.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.