SISI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA TUMEKAMILISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI NA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA, TULIANZA TAREHE 27 DISEMBA 2024 TUMEKAMILISHA TAREHE 2JANUARI 2025.”
Akizungumza Afisa Mwandikishaji Jimbo la Mafinga Mjini Ndugu Charles Mwaitege amesema VITUO vya kuandikisha Vilikuwa 78 watu walijitokeza kwa wingi, kuanzia siku ya kwanza mpaka ya mwisho,
“ wananchi wamejitokeza kwa wingi katika Jimbo la Mafinga Mjini, wamejiandikisha na kuboresha taarifa zao hii inaonyesha Elimu imetolewa na imewafikia wananchi kwa asilimia kubwa”
wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika Jimbo la Mafinga Mjini, kujiandikisha na kuboresha taarifa zao hii inaonyesha Elimu imetolewa na imewafikia wananchi kwa asilimia kubwa na leo ikiwa ni siku ya mwisho .
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.