Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Wilaya ya Mufindi imewasilisha taarifa ya Uchambuzi wa Mfumo wa Uendeshaji wa shughuli za uzoaji wa Taka na Mfumo wa ajira za vibarua wanaokusanya mapato katika Halmashauri ya
Mji Mafinga kwa Wadau ambao ni Timu ya Menejimenti ikiongozwa na Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu, Ayoub Kambi,PSSSF Iringa, NSSF Mufindi, wakusanya ushuru, wasimamizi wa masoko na watendaji wa Mitaa.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.