Mabingwa watetezi Mpira wa Wavu wanawake katika viwanja vya Tanga Tech wamewachakaza timu ya wanawake kutoka Manyoni kwa seti 2-0
Akizungumza Kaptaini wa Timu ya Wanawake kutoka Mafinga Edina Mg’ong’o amesema kuwa timu ya Mafinga imejipanga vizuri japo upinzani kwa mwaka huu ni mkali na michezo ni mingi.
Kwa Upande wa wanaume timu ya Mafinga imewachakaza Mbalali kwa seti 2-0, mpira uliokuwa mkali kwa timu zote lakini bado mafinga walionyesha ubabe kwa wapinzani wao.
Jumla ya Halmashauri 150 zinashiriki mashindano ya SHIMISEMITA yanayofanyika Jijini Tanga kuanzia tarehe 15-29/8/2025.
Sima Bingileki
Afisa Habari Mkuu
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.