Akizungumza na Kukagua zoezi ambalo limeoneka kwa siku hizi za mwisho limekuwa na muitikio mkubwa wa watu kujitojeza, amewataka kuhamasisha wengine ambao hawajajitojeza kuboresha taarifa zao kuhakikisha wanaitumia siku hii ya mwisho ili kupata haki Yao ya msingi.
Bi Fidelica ametembelea kituo cha Shule ya Msingi Mamba katika Kata ya Isalavanu, Kata ya Bumilayinga,Saohili na Rungemba Itimbo
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.