Tume Huru ya Taifa ya Uchugauzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga leo imetembelea na kuangalia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura katika kata na vituo mbalimbali jimbo la mafinga mjini.
Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi imeridhishwa na zoezi la uwandikishaji linavyo endelea katika meeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Mji Mafinga na hivyo kuwataka wananchi kuhakikisha wanajitokeza na wanatumia muda huu kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura na kuacha kusubiri siku ya mwisho zoezi hili limeanza leo 27 na lina tarajia kumalizika tarehe 2 Januari.
Michael Ngowi Afisa Habari
picha mbalimbali katika kukagua na kuangalia zoezi la uwandikishaji na uboreshaji taarifa katika daftari la kudumu la mpiga kura jimbo la mafinga mjini.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.