Watumishi wote wa Halmashauri ya Mji Mafinga, Mnatangaziwa kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imeanzisha Mfumo wa Uhamisho kwa Njia ya Kielektoniki.
Mfumo huu utaanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 1/9/2023.
Maelezo zaidi wasiliana na Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu- Halmashauri ya Mji Mafinga.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.