• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

WAZIRI ALIDHISHWA NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA HALMSHAURI YA MJI MAFINGA

Posted on: December 30th, 2017

Waziri wa maji na umwagiliaji Mh.injinia Isack Kamwelwe ameoneekana kulidhishwa na ujenzi wa miradi ya maji katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga.Katika ziara yake ya kikazi ndani ya Mji wa Mafinga iliyokuwa na lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya maji inayotekelezwa katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga alitembelea  ujenzi tanki la kuhifadhia maji lililojengwa eneo la kinyanambo lenye uwezo wa kuhifadhi jumla ya lita laki tano ambazo zitatumiwa na wananchi wapatao 15000 ambao ni wanufaika wa mradi.

Waziri alisema '' lengo la serikali ni kutatua kero ya maji kwa asilimia 95 kwa wakazi wa mjini ifikapao 2020'' ambapo jumla ya fedha kiasi cha shilingi milioni mia nne na saba zilitolewa na wizara yake ya maji na umwagiliaji na kuwezesha ujenzi wa tanki hilo la kuhifadhiwa maji kujengwa katika eneo la kinyanambo, aidha katika hatua nyingine wizara ya maji na umwagiliaji kwa kushirikiana na Halmashauri ya Mji wa Mafinga imanza tena mchakato wa ujenzi wa tanki jingine kubwa lenye uwezo wa kuhifadhi ujazo wa maji kiasi cha lita milioni moja katika eneo la changarawe na tenda tayari imeshatangazwa toka tarehe 15/12/2017, tanki hilo ambalo litagharimu jumla ya bilioni moja.

Lengo la Halmashauri ya Mji wa Mafinga ni kuhakikisha rasilimali za maji zinapatikana na kuendelezwa kwa manufaa ya wananchi kwa kuhakikisha maji safi na salama yanapatikana kwa umbali usiozidi mita mia nne kwa mujibu wa sera ya maji ya 2002, mpaka sasa asilimia 69 ya wakazi wa Mji wa Mafinga wanapata maji safi na salama

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.