Maaafisa wanafunzi kutoka chuo cha ulinzi cha taifa(NDC) wamefanya ziara ya mafunzo kwa halmashauri ya mji mafinga ili kujionea fursa za uwekezaji zilizopo halmashauri ya mji mafinga na halmashauri ya wilaya ya Mufindi.Mafunzo hayo yalifanyika tarehe 11/01/2022 kwa kupitia maeneo muhimu ya Samba la miti saohili,kiwanda cha Uniliver pamoja na makao makuu ya halmashauri ya mji ambapo walipa maelezo mafupi kutoka kwa Mkurugenzi wa mji.mkurugenzi wa mufindi DC na kutoka kwa mkuu wa wilaya ya mufindi.Pichani ni mkuu wa wilaya ya Mufindi Mhe Saad Mtambule akiwa na maafisa kutoka chuo cha NDC wenye sare na baadhi ya wataalam wa halmashauri ya mji mafinga
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.