Upiaji wa linta ukianza kama ulivyo bainishwa tarehe 19/11/2021

Uchimbaji wa msingi ukiwa unaendelea katika mojawapo ya darasa tarehe 4/11/2021

Uchimbaji wa msingi kwa kiwango kinachostahili ukiwa unaendelea katika mojawapo ya darasa tarehe 4/11/2021
mwonekano wa kiti kwa ujirani kama ilivyopitiwa tarehe 6/11/2021

mwonekano wa kiti kwa ujirani kama ilivyopitiwa tarehe 6/11/2021 na mafundi wakiwa kazini

mwonekano wa jamvi kwa madarasa na ofisi ukiwa katika hatua za ukamilishaji na ufundi tarehe 9/11/2021

ujenzi wa kuta ukiwa unaendelea kwa hatua za mwanzoni leo tarehe 11/11/2021

shughuli za linta au beam zikiwa zinaendelea tarehe 21 hadi 22/2021

uwekaji wa madirisha ukiwa unaendelea kwa hatua za awali
ujenzi wa kuta ukiwa umeanza leo tarehe 11/11/2021
uwekaji wa kenchi ukiwa unaendelea tarehe 26/11/2021
upauaji ukiwa unaendelea tarehe 29/11/2021

upauaji ukiwa unaendelea
upauaji ukiwa unaendelea tarehe 29/11/2021
upauaji ukiwa unaendelea tarehe 29/11/2021
upauaji ukiwa unaendelea tarehe 29/11/2021
upigaji wa lipu ukiwa unaendelea sambamba na uwekaji wa bati tarehe 29/11/2021

Mlezi wa kata ndugu Maghembe ambaye ni TAICO akiwa na TSEO ndugu Shemdoe wakikagua maendeleo ya ujenzi
Upigaji wa lipu ndani unaendelea tarehe 30/11/2021
Mkurugenzi bi Hapiness R Laizer akiwa kazini kwa ukaguzi wa mradi pamoja na timu ya ufuatiliajio tarehe 29/11/2021
Mkurugenzi bi Hapiness R Laizer akiwa kazini kwa ukaguzi tarehe 29/11/2021

shughuli za upauaji zikiwa zinaendelea hapa vijana wa kazi wakibeba bati kwa ajili ya uezekaji tarehe 29/11/2021
Lipu nje kwa muonekano wa tarehe 1/12/2021
u[pigaji wa dari nje ukikamilika tarehe 07/12/2021

Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.