Posted on: March 24th, 2023
Halmashauri ya Mji Mafinga imepanga utaratibu wa upauaji wa majengo kwa kutumia mabati ya rangi mbalimbali ili kuboresha muonekano wa Mji na kurahisisha utambuzi wa maeneo katika Kata zote.
...
Posted on: March 14th, 2023
Jumla ya Tsh, 340,153,629.78/-zimetolewa na Halmashauri ya Mji Mafinga kwaajili ya Mikopo kwa vikundi 33 vya wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu kwa kipindi cha Oktoba-Disemba 2022/2023.
Akikabi...
Posted on: March 14th, 2023
Halmashauri ya Mji Mafinga yaanza rasmi tarehe 14/3/2023 kutoa leseni za Biashara kwa Mfumo wa Tausi.
Akizungumza Ndugu Charles Tuyi Mkuu wa Kitengo cha Usafi wa Mazingira na Udhibiti wa ...