Posted on: December 11th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi, Fidelica Myovella ametoa rai kwa Watumishi kufanya kazi kwa bidii na ushirikiano aliposhiriki kikao cha Baraza la Wafanyakazi leo tarehe 11/12/2024.
...
Posted on: December 11th, 2024
Timu ya Wataalamu kutoka “Mama Samia Legal Aid Campaign ( MSLAC) imewasili katika Halmashauri ya Mji Mafinga na kuahidi kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi bure kwa siku 10 kuanzia tarehe 11 Disemba...
Posted on: December 9th, 2024
Halmashauri ya Mji Mafinga imefanya Kongamano la kuwajengea uwezo na kuwakumbusha majukumu ya msingi Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa ambao wamechaguliwa hivi karibuni, katika kongamano hilo lime...