Posted on: February 25th, 2025
Hakikisheni Utoaji wa chakula mashuleni kwa wanafunzi wote, bustani za mbogamboga na matunda mashuleni, Siku ya Lishe zinakuwa Ajenda za kudumu zinazojadiliwa kwenye vikao vya Maendeleo vya Kata zote ...
Posted on: February 19th, 2025
uhakikishe tunawapa ushirikiano mafundi na tuwe nao karibu ili waweze kumaliza kazi kwa wakati na kwa ubora mkubwa ili kusiwepo kasoro katika ukamilishaji wa Miradi tunayoitekeleza kwa mfano, Maabara ...
Posted on: February 21st, 2025
“Mradi utazingatia usalama wa kimazingira katika jamiii itayozunguka Mradi na pia naomba watu wote tuwe sehemu ya umiliki wa Mradi kwa kuuangalia na kutoa taarifa sehemu husika pindi tutakapo...