Posted on: August 4th, 2025
Tume Huru yaTaifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata katika Jimbo la Mafinga Mjini ambayo yameanza leo na yanatarajiwa kumalizika tarehe 6 Agosti.
...
Posted on: August 14th, 2025
Ni wajibu wetu kuhakikisha Mapato yanakusanywa na hayavuji, tuhakikishe Timu za Ukusanyaji Mapato zinafanya kazi kwa kufuata uadilifu. Na uaminifu mkubwa huku tukizifuatilia kwani hakuna haki bila waj...
Posted on: August 11th, 2025
Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe.Kheri James amefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga na kukagua ujenzi wa Barabara ya kiwango Cha Lami inayoanzia Mtaa wa Makondeko na kuishia Mtaa wa Ihongole.
...