Posted on: May 29th, 2018
Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Halmshauri ya Mji wa Mafinga umepitia jumla ya miradi nane ikiwa ni utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji Mafinga, ikishirikiana...
Posted on: April 23rd, 2018
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewasha umeme kwa mara ya kwanza katika Kata ya Upendo mtaa wa Lumwago uliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Mkoa wa Iringa.
Uzinduzi huo uliofanyik...
Posted on: February 27th, 2018
Halmashauri ya mji wa mafinga imepitisha rasimu hiyo ya bajeti ya maendeleo katika kikao cha baraza la waheshimiwa madiwani kilichofanyika 26/2/2018 katika ukumbi wa halmashauli ambapo jumla...