Posted on: June 6th, 2025
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu Charles Mwaitege ameendesha kikao cha Kamati ya Lishe kujadili taarifa mbalimbali kwa robo ya tatu kuanzia mwezi Januari hadi Machi 2025.
...
Posted on: June 3rd, 2025
Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kaona haitoshi kujenga Miundombinu ya Hospitali pekee sasa katuletea Madaktari bingwa 7 ambao kuwepo kwao kutapunguza gharama za wananchi kufuata huduma za kibi...
Posted on: May 27th, 2025
Wilaya ya Mufindi imeendesha Baraza la Wafanyabiashara ampambo wamejadili mambo mbalimbali ili kuhakikisha Wilaya na Halmashauri zake zinakusanya mapato.
Akimwakilisha Mkuu wa Wilaya Mufin...