Posted on: September 12th, 2023
Watumishi wote wa Halmashauri ya Mji Mafinga, Mnatangaziwa kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imeanzisha Mfumo wa Uhamisho kwa Njia ya Kielektoniki.
...
Posted on: September 12th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu, Ayoub Kambi anapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa Mbolea ya Ruzuku Msimu wa 2023/2024 inapatikana kwenye maduka ya Pembejeo za Kilimo yaliyopo M...
Posted on: September 12th, 2023
Maafisa Bajeti wa Divisheni na Vitengo, Maafisa TEHAMA na Manunuzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga wameanza mafunzo ya siku 5 kuhusiana na matumizi ya Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki Serikalini( NeST)...